Habari motomoto zilizojili hivi punde kutoka kila kona ya Dunia

Tuesday, 13 December 2016

Bright Academy Open School-Mwanza, Inawatangazia nafasi za masomo mwaka 2017




FANYA QT, RUDIA MTIHANI WA KIDATO CHA 4 NA CHA 6 (RESITTERS) NA BRIGHT ACADEMY MWANZA UWE NA HAKIKA YA KUFAULU!
Uongozi wa shule ya BRIGHT ACADEMY iliyoko Ilemela
barabara iendayo uwanja wa ndege jirani na ofisi za star tv kwenye majengo yaliyokuwa chuo cha afya jijini Mwanza itakayoanza tarehe10/1/2017 inatangaza nafasi za masomo kama ifuatavyo:
1.Form I-IV kwa
miaka 2 (QT)
2.Form I-IV kwa
miaka 4
3.Form  V-VI kwa mwaka 1
4.Form V-VI kwa miaka 2
5.Resitters-Form 4&6
6.Pre Form One kila mwezi wa 9 tarehe 10 inaanza.
7.English course kwa watu wazima
8.Computer Application
9.Hair Dressing,Styles & Beauty (urembeshaji)
10.Decoration & ornament (upambaji)
11.Video Production & Photographing
12.Utengenezaji wa bidhaa anuwai kama batiki,disinfectants n.k kwa matumizi ya nyumbani
13.Ujasiriamali na uibuaji wa fursa zinazomzunguka mtu alipo ili ajiajiri
14.Kiswahili kwa wageni.
KUMBUKA:
√ Masomo ya Form 5&6 yatakuwa HGL,HGK,HKL,HGE, EGM,PCB,PCM,CBG na PGM
√Kutakuwa na kituo cha mitihani ya Private Candidate (PC)
√Programu za ujuzi mfano urembeshaji,
upambaji n.k ni fupi za kati ya mwezi mmoja hadi mitatu.
HOSTELI IPO.
Usipitwe na fursa hii muhimu! wala isimpite nwanao,nduguyo, rafiki na jamaa zako. Mtaarifu na mwingine.Kituo cha HIACE cha kushuka ni RFA kinachojulikana pia kama ILEMELA. Shuka hapo sogea mbele ukifuata lami umbali wa  mita 150, angalia kushoto utaona bango. Au kama umepanda HIACE za mjini airport omba msaada chuo cha afya, utashushwa getini.
Mawasiliano:
0767 413 800 na 0786636986

No comments:

Post a Comment