Habari motomoto zilizojili hivi punde kutoka kila kona ya Dunia

Tuesday, 21 November 2017

Maneno Mazuri ya Mwl Nyerere, Tazama Video hapa



Mwalimu Nyerere bado anaishi katika mioyo ya watanzania,  maneno yake mazuri, ya kuelimisha na yenye maonyo mengi aliotuachia bado anaishi.
Mungu atusaidie sana tuweze kutimiza wajibu wetu sisi wananchi nabkudumisha amani na mshikamano wenye nguvu.  Mwalimu Nyerere alijitoa maisha yake kulitumikia taifa hili.  Katika macho yetu ya kibinadamu tunaona kabisa kuwa anasaidia sana taifa hili kuwa namna lilivyo leo.  Mungu ampe mwanga wa milele
Kama njia ya kujifunza mema kutoka kwake,  unaweza kufungua video hii hapa chini kusikiliza maneno ya busara kidogo,  endelea kutembelea blog yetu ambayo hivi sasa ni pendwa kwa vijana Tanzania 



No comments:

Post a Comment