Mwalimu Nyerere bado anaishi katika mioyo ya watanzania, maneno yake mazuri, ya kuelimisha na yenye maonyo mengi aliotuachia bado anaishi.
Showing posts with label Duniani Leo TV. Show all posts
Showing posts with label Duniani Leo TV. Show all posts
Tuesday, 21 November 2017
Saturday, 18 November 2017
Dr Shika Akaribia Kutimiza Azma yake ya Kununua Nyumba Za Lugumi
Dr. Luis Shika alifunguka kwamba yeye sio Mbabaishaji na kwamba ni kweli hizo Bilioni alizozitaja na kujinadi kununua nyumba za mnada anazo sema tu ziko Urusi.
Baada ya kushikiliwa na Polisi kwa kutokua na pesa hizo kwenye eneo la mnada, Dr. Shika alianza kuzifatilia akidai pesa zake zote ziko Urusi hivyo leo ndio amekwenda kulipia BIMA ambayo ilikua ni lazima afanye hivyo ili ndio zitumwe, mtazame kwenye hii video hapa chini leo akiwa Benki.
Friday, 17 November 2017
Tuesday, 24 January 2017
Subscribe to:
Posts (Atom)


