Serikali za Tanzania na Uturuki zimesaini mikataba 9 ya ushirikiano wa
kimaendeleo katika nyanja za Afya, Usafiri wa Anga na Viwanda. Rais
Endorgan
amualika Rais Magufuli kufungua ubalozi nchini Uturuki.
Amemuomba kusaidia kutokomeza watu waliotaka kumpindua madarakani.
Zaidi, tazama hii video ya hotuba zao
amualika Rais Magufuli kufungua ubalozi nchini Uturuki.
Amemuomba kusaidia kutokomeza watu waliotaka kumpindua madarakani.
Zaidi, tazama hii video ya hotuba zao
No comments:
Post a Comment