Leo tarehe 20 Novemba 2017. Mwandishi wa habari za Mahakama Mika Ndaba amesema kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB), Peter Noni na Wakili maarufu wa kujitegemea Dr. Ringo Tenga wamefikishwa katika Mahakama hiyo ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi.
Taarifa zaidi tutawaletea kupitia blog ya hii ya Duniani Leo, endelea kuwa nasi. Kwa matangazo ya biashara wasiliana nasi kwa kubofya sehemu iliyoandikwa Wasiliana nami
No comments:
Post a Comment