Kabla ya Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe kuonekana mbele ya wananchi kwa mara yake ya kwanza siku ya Jumapili usiku tangu jeshi lilipochukua udhibiti wa serikali, mmoja wa majenerali
waliomshikilia alionekana akiondoa kurasa kutoka kwa kile kinachoonekana kuwa hotuba ya Mugabe.
Mtu huyo anaonekana akichukua kurasa na kuziweka chini ya kiti chake Mugabe alipokuwa tayari kusoma hotuba yake punde.
Mtazame hapa kwenye video hapa chini
No comments:
Post a Comment