BATMET
Company
Inawatangazia nafasi za kazi
maafisa mauzo (sales officers) wawili urgently kwa ajili ya mazao ya kilimo na
mifugo kanda ya ziwa.
SIFA: Wahitimu
wa agribusiness na wakazi wa kanda ya ziwa watapewa kipaumbele. Mshahara ni mnono hivyo usiichezee nafasi hii.
Kwa
maelekezo na mawasiliano piga;
0718586882
0784379914
0717461714
No comments:
Post a Comment