Thursday, 30 November 2017
HUWEZI AMINI, LAKINI UKWELI NI KWAMBA DUNIANI NI KUKAZA ROHO TU
Hakika maisha ni mapito, aliyesema msemo huu hakukosea kabisa. Katika maisha mara nyingi huwa ni kupanda na kushuka.
DIALLO, MECK SADIKI NGOMA NGUMU CCM MWANZA
Kuteuliwa kwa DK. Anthony Diallo na Said Meck Sadiki kugombea uenyekiti wa chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mwanza kumezua mjadala miongoni mwa wanachama kuhusu anayefaa kutwaa wadhifa huo sasa.
URUSI IMESEMA MAREKANI NI WAONGO TU WANATAKA KUIVAMIA KOREA YA KASIKAZINI
Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergei Lavrov amedai Marekani ndiyo imekuwa ikiichokoza Korea Kaskazini na kuichochea kuongeza kasi mpango wake wa silaha za nyuklia.
TAZAMA VIDEO HII UONE MHALIFU WA KIVITA ALIVYOKUNYWA SUMU MWENYEWE MAHAKAMANI UHOLANZI
Baada ya Kuhukumiwa miaka 20 jela kwa kuua watu wengi nchini Bosnia, yeye wakati huo alikuwa kiongozi wa jeshi aliamua kunywa sumu mbele ya majaji wa mahakama ya uhalifu wa kivita The
Bunge Lachukua Maamuzi Magumu Kuhusu Wabunge wa CUF
Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai amesema uamuzi wa Mahakama Kuu hauelezi popote kuwa wabunge 8 wa CUF waliopoteza ubunge warudishwe bungeni.
Wednesday, 29 November 2017
Tundu Lissu Aadhimisha Miaka 20 ya Ndoa Yake Akiwa Hospitali
Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu leo ametimiza miaka 20 ya ndoa akiwa bado hospitalini Nairobi akijiuguza
Mmoja wa Wagombea WA CCM Asakwa na TAKUKURU Musoma
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imetangaza kumsaka mmoja wa wagombea uenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kwa mahojiano akituhumiwa kujihusisha na vitendo vya rushwa.
Tuesday, 28 November 2017
Makamu wa Rais Samia Suluhu, Lowassa kukutana Leo Nchini Kenya
Makamu wa rais Mh Samia Suluhu pamoja na Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa wamewasili nchini Kenya leo katika sherehe za kuapishwa kwa rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.
Viongozi wengine wa kiserikali waliohudhuria ni pamoja na waziri wa ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Suzan Kolimba. Sherehe hizo zinafanyika Leo jijini Nairobi baada ya uchaguzi wa marudio uliofanyika mwishoni mwa mwezi wa Oktoba 2017.
Katika uchaguzi huo wa marudio, rais Kenyatta alipata ushindi wa asilimia 98 ya kura zilizopigwa.
Endelea kutembelea blog yako makini ya mchumi Mgejwa kila sekunde
Subscribe to:
Posts (Atom)