Timu ya AC Milan imemtimua kocha Vincenzo Montella na badala yake imempa usukani Gennaro Gattuso kukisimamia kikosi cha kwanza cha timu hiyo.
Showing posts with label Michezo. Show all posts
Showing posts with label Michezo. Show all posts
Monday, 27 November 2017
Sunday, 19 November 2017
Dr. Shika Atumika Katika Tangazo la Kampuni Ya SokaBet
Dr Shika maarufu kama mzee wa inapendeza Mungu amemfungulia milango na kujikuta akiingia mkataba na kampuni ya kubet, mshuhudie hapa kwenye video
Sunday, 29 January 2017
Simba azama topeni
SIMBA jana ilijiweka kwenye wakati
mgumu wa kuendelea kuongoza msimamo wa Ligi Kuu ya Vodacom Bara baada ya
kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Azam.
Wednesday, 11 January 2017
WACHA MANENO WEKA SIMBA KAUA YANGA UWIIIIIII
KAMA ingekuwa ni muziki wa msanii wa
kizazi kipya Darasa ungesema wacha maneno weka muziki lakini kwa vile ni mpira,
unaweza sema wacha maneno weka Simba kaua Yanga.
Friday, 23 December 2016
Orodha ya Fifa: Argentina yaongoza duniani, Senegal yawika Afrika
Taifa la Guinea-Bissau ndio taifa
lililofaidika sana katika orodha mpya ya shirikisho la soka duniani Fifa mwaka
2016 baada ya kupanda nafasi 78 tangu Disemba mwaka uliopita.
Thursday, 22 December 2016
Ligi Kuu Tanzania Bara Kuendelea Kesho Tarehe 23 Desemba 2016
LIGI kuu Tanzania
Bara inatarajiwa kuendelea tena kesho Ijumaa kwa mchezo Na. 129
utakaozikutanisha timu za African Lyon na Young Africans kwenye Uwanja wa
Uhuru, Dar es Salaam utakaochezeshwa na Mwamuzi, Ludovic Charles
kutoka mkoani Tabora akisaidiwa na John Kanyenye wa Mbeya (Mshika Kibendera Na.
1) na Alnord Bugado wa Singida (Mshika Kibendera Na. 2), Mwamuzi wa Akiba –
Mezani anatarajiwa kuwa Israel Nkongo kutoka Dar es Salaam.
Subscribe to:
Posts (Atom)






